Wasiliana Nasi

Ofisi yetu ipo wazi kwa ajili ya wanachama, watumiaji wa leseni, na wadau wote wa sekta ya sauti na picha.

MAKAO MAKUU YA TAVIC

Mawasiliano ya Ofisi Kuu ya TAVIC

Ofisi yetu kuu ipo Oyster Pearl Galleria, Ghorofa ya 2, Oysterbay, Dar es Salaam. Inahudumia wasanii, wazalishaji na watumiaji wa leseni kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Anwani ya Ofisi Kuu

Ghorofa ya 2 (2nd Floor), Oyster Pearl Galleria, Mtaa wa Chole / Haile Selassie Road, Oysterbay / Masaki, S.L.P. 7120, Dar es Salaam, Tanzania.

Simu za Mezani & Hotline

Simu Kuu: +255 666 004 283

WhatsApp & Dawati la Wanachama

WhatsApp Rasmi: +255 666 004 283

Inajibizwa na maafisa wa Oyster Pearl Galleria wakati wa saa za kazi

Barua Pepe Rasmi

Jumla: info@tavic.or.tz | Leseni: leseni@tavic.or.tz

Saa za Kazi

Jumatatu - Ijumaa: Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni (8:00 AM - 5:00 PM)

Jumamosi, Jumapili & Sikukuu: Ofisi Imefungwa (Huduma za Mtandaoni Zinaendelea 24/7)

Tuma Ujumbe au Ombi Lako

Afisa mtaalamu wa TAVIC katika ofisi ya Oyster Pearl Galleria atapokea taarifa zako na kukujibu mara moja.

Taarifa zako zinalindwa kwa usalama wa hali ya juu na hazitotolewa kwa wahusika wengine.

MAKAO MAKUU TAVIC

Oyster Pearl Galleria, Ghorofa ya 2

Mtaa wa Chole Road, Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania

View on Google Map

Oysterbay & Masaki Precinct

Eneo la Biashara • Dakika 1 kutoka Barabara Kuu ya Haile Selassie na Chole Road.

Coco Beach / Toure Drive

Mita 500 kutoka Oyster Pearl Galleria • Dakika 3 kwa gari kutoka ufukweni.

Uwanja wa Ndege (JNIA Terminal 3)

Kilomita 16 kupitia Ali Hassan Mwinyi Rd • Dakika 30 kwa gari/teksi.

MAWASILIANO YA MOJA KWA MOJA

Wasiliana Moja kwa Moja na Idara Husika

Pata namba za moja kwa moja na barua pepe za wakuu wa vitengo ili kuharakisha kushughulikiwa kwa ombi lako.

LESENI & TOZO

Kitengo cha Leseni za Biashara

Kwa maombi ya leseni za hoteli, baa, kumbi, mabasi, vituo vya utangazaji, na utoaji wa Control Numbers za malipo.

+255 666 004 283

leseni@tavic.or.tz

Mkuu wa Kitengo: Afisa Leseni Mwandamizi

WASANII & KAZI

Kitengo cha Wanachama

Kwa usajili wa wasanii, waongozaji, wazalishaji, ufunguaji wa mafaili ya kazi mpya za filamu na mabadiliko ya taarifa za uanachama.

+255 666 004 283

wanachama@tavic.or.tz

Dawati la Uhusiano na Wasanii

GAWIO & BENKI

Kitengo cha Mirabaha na Malipo

Kwa uhakiki wa taarifa za kibenki (CRDB/NMB), namba za simu za kupokelea mgao (M-Pesa/Tigo/Airtel), na ripotiza mgawanyo wa mirabaha.

+255 666 004 283

mirabaha@tavic.or.tz

Idara ya Fedha na Mgawanyo